Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

Hata wakifungwa na Niger bado wamejitahidi..ukizingatia mashindano yajayo tutaandaa ..lakini ndugu yangu umeshindwa kweli kuficha roho mbaya yako japo kwa kusifia kile kizuri walichofanya.
 

Tunakujua.
Oman ikicheza na Serengeti boys utashangilia Oman.
Tuachie vijana wetu, usiwawangie.
 
We jamaa mSeinger sana....
 
Ukubwa wa ubongo wako ni kama shubiri ndani ya kizibo cha soda.ama kwa hakika umethibitisha unafikiria kwa kutumia unyayo wako.cha kushangaza zaidi we ni mtumwa wa akili zako mwenyewe.wewe sio binaadam bali ni nzi tena wa chooni.unawaza vitu vya chooni tu.
 
Huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kenge mwenye madoadoa mfyuuuuu nenda kawange uko tuachie timu yetu nyau mkubwa wewe ....mtoto mdogo mwanga mfyuuuuuuuuu
 
Umetumwa? Roho ya kwa nini inakusumbua pole sana
 
Inawezekana kuna kitu umetoka kukikalia mda huu
 
Unamilikiwa
 
I think utakuwa ulimpa mtoto wako kuandika hii trend ,siamini kama kweli hizi ndio akili zako
 
Hovyo kabisa, hii yote sababu ya muungano, itakuwa babu zako waliuliwa kipindi ya mapinduzi.
Na muungano utadumu milele, kajiue.
 
Upo Msumbiji tu hapo unaanza zarau,siku ukifika na Malawi kule alikotoka Mamaako si ndo utatembelea Mikono ili uonekane ni wa tofauti.Timu inafanya,vp unaweza kwenda kunya stand?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…