Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,912 Aug 6, 2009 #1 Jana vijana wamefanya kweli baada ya kuichapa African Lyon 3.0. hapo mpo wapenzi wa Lyon
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,061 Aug 6, 2009 #2 hivi hili jina la FC LYON,limetokea wapi au lina maana gani? at first glance i thought it was an european team
hivi hili jina la FC LYON,limetokea wapi au lina maana gani? at first glance i thought it was an european team
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Aug 6, 2009 #3 Son of Alaska said: hivi hili jina la FC LYON,limetokea wapi au lina maana gani? at first glance i thought it was an european team Click to expand... I think muandishi alidhamiria kutuchanganya, maana kama ni hiyo ya bongo inaitwa African Lyon
Son of Alaska said: hivi hili jina la FC LYON,limetokea wapi au lina maana gani? at first glance i thought it was an european team Click to expand... I think muandishi alidhamiria kutuchanganya, maana kama ni hiyo ya bongo inaitwa African Lyon