Timu ya Serengeti boys wamechukua ubingwa wa mashindano maalum yaliyofanyika Rwanda maarufu kama Ferwafa baada ya kutoka droo ya magoli matatu kwa matatu.
Mashindano hayo yalishirikisha timu tatu za Rwanda,Tanzania na Cameroon..
Hongera nyingi kwao. Ila yule golikipa aliyedaka mechi ya leo kama ndiye namba moja basi ndoto za kufuzu nusu fainali zinaweza kuyeyuka kutokana na makosa yake ya kuruhusu magoli ya mbali na ya kizembe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.