Wana jf nasikitika kusema kuwa vinywaji nivipendavyo bia aina ya serengeti ya chupa ndogo na soda ya mountain dew kutoka pepsi (sbs). Hazipatikani tena, nimejitaidi kuzitafuta mbeya, dar na moshi hamna kabisa, na ukiuliza napewa tetesi eti hazi zalishwi tena kisa serengeti chupa ndogo inauwa soko la bia nyingine za kampuni mara chupa yake kwa kuwa ni teki away inatumika kama silaa, na soda dew pia tetesi ni kwamba imetishia soda nyingine za kampuni, tafadhali naomba wenye ukweli mtuambie ila kiukweli ninasikitika sana kwa kukosa hivi vinywani, sijui nifanyje, wahusika wa hizi kampuni ni bora muwe wazi mnaboa sana,