Serengeti breweries

Serengeti breweries

nyendo kintu

Member
Joined
May 31, 2011
Posts
20
Reaction score
2
Hallo wanajamvi sisi ni vijana wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera tunaomba yeyote mwenye kuweza kutupa contacts za meneja uhusiano wa serengeti breweries kwa jina la Teddy Mapunda ili tuweze kumwandikia kumuomba ufadhili wa tamasha letu la vijana hapa Ngara kwa ajili ya kuhamasishana mambo yanayotukabili vijana. Tutashukuru wanajamii.
 
Ingieni kwa web site yao itakuwa ndio njia rahisi ya kupata contact zao na hata ukipata za land line unatakiwa kupiga na kusema shida yako then watakudirect kwa wahusika.
 
Tumejaribu web yao ya eabl lakini tunashindwa kupata ipo so loaded na network ya hapa kwetu in shida sana ndo maana tunaomba walio kwenye fastest net watusaidie bandugu.
 
Teddy Mapunda yuko TBL na sio serengeti breweries. Tafuteni tz business directory mtapata hiyo kitu. Otherwise ni-pm baada ya masaa 3 unikumbushe nikupe namba ya ofisi ya tbl na serengeti.
 
Hallo wanajamvi sisi ni vijana wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera tunaomba yeyote mwenye kuweza kutupa contacts za meneja uhusiano wa serengeti breweries kwa jina la Teddy Mapunda ili tuweze kumwandikia kumuomba ufadhili wa tamasha letu la vijana hapa Ngara kwa ajili ya kuhamasishana mambo yanayotukabili vijana. Tutashukuru wanajamii.

Mkuu ondoa shaka kesho niko day shift hapa serengeti breweries mwanza,nitacheki kwenye switchboard ya sbl nichukue conts zeni nitaweka hapa jamvini
 
Teddy Mapunda yuko TBL na sio serengeti breweries. Tafuteni tz business directory mtapata hiyo kitu. Otherwise ni-pm baada ya masaa 3 unikumbushe nikupe namba ya ofisi ya tbl na serengeti.

lugha za kiforum wengine tabu hata sijui maana ya pm ila najua ukipata wasaa utasaidia na ndugu yangu wa mwanza serengeti brewer nakushukuru wacha nivute subira.
 
Teddy Mapunda yuko TBL na sio serengeti breweries. Tafuteni tz business directory mtapata hiyo kitu. Otherwise ni-pm baada ya masaa 3 unikumbushe nikupe namba ya ofisi ya tbl na serengeti.

acha kupotosha teddy mapunda yupo serengeti na majuzi tu alikuwa anatangaza vijana waliopata ufadhiri wa serengeti kwa vyuo vikuu kama kuhama labda amehamia leo huko tbl
 
P M ni private msg, so unaeza ukamtumia msg akakupa hayo maelezo,
 
Back
Top Bottom