nyendo kintu
Member
- May 31, 2011
- 20
- 2
Hallo wanajamvi sisi ni vijana wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera tunaomba yeyote mwenye kuweza kutupa contacts za meneja uhusiano wa serengeti breweries kwa jina la Teddy Mapunda ili tuweze kumwandikia kumuomba ufadhili wa tamasha letu la vijana hapa Ngara kwa ajili ya kuhamasishana mambo yanayotukabili vijana. Tutashukuru wanajamii.
Teddy Mapunda yuko TBL na sio serengeti breweries. Tafuteni tz business directory mtapata hiyo kitu. Otherwise ni-pm baada ya masaa 3 unikumbushe nikupe namba ya ofisi ya tbl na serengeti.
Teddy Mapunda yuko TBL na sio serengeti breweries. Tafuteni tz business directory mtapata hiyo kitu. Otherwise ni-pm baada ya masaa 3 unikumbushe nikupe namba ya ofisi ya tbl na serengeti.