Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,836
Reaction score
2,536
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.

Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya.
Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
 
Attachments

  • PXL_20240510_182046495.MP.jpg
    PXL_20240510_182046495.MP.jpg
    5 MB · Views: 14
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.

Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya.
Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
Halafu hata radha ya hiyo siku hizi naiona iko tofauti..
 
Kula bia mkuu achana na kusoma lebo, huiamini TBS?
 
wakati tulipomkuta tukimnyanyua akawa anasema "mambo yangu niachieni mwenyewe!!".. tulivyozidi kumnyanyua akaanza kutuporomoshea maneno mara aseme "tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi sana!!"...🤣🤣

Jembe huyoo ako smart sana Ametishaaaaaaaaaaaa

Mambo yake muachie mwenyewe

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom