Hahah, kuna ile moment unaitizama chupaa, alafu unaisoma soma maandishi. Muhimu sana iyo ππKula Bia, Logo Ya Nini Wakati Haileweshi
Huo ni uchawi kwani ulilazimishwaIna niuma sana mimi kama mtanzania niliyepiga chanjo ya corona ,kuona nyie ambao hamjapiga mpo hai
Halafu hata radha ya hiyo siku hizi naiona iko tofauti..Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.
Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya.
Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
Nasemaje, Utajua wewe π€£π€£Ina niuma sana mimi kama mtanzania niliyepiga chanjo ya corona ,kuona nyie ambao hamjapiga mpo hai
Lo mara moja moja unaonjaga bia kwani??????πππ€ ππ
mh! si juzi tu huyu jamaa tulimuokota kwenye mtaro akiwa chakali..πLo mara moja moja unaonjaga bia kwani??????πππ€ ππ
wakati tulipomkuta tukimnyanyua akawa anasema "mambo yangu niachieni mwenyewe!!".. tulivyozidi kumnyanyua akaanza kutuporomoshea maneno mara aseme "tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi sana!!"...π€£π€£
Na bado hujasema!Ina niuma sana mimi kama mtanzania niliyepiga chanjo ya corona ,kuona nyie ambao hamjapiga mpo hai
wakati tulipomkuta tukimnyanyua akawa anasema "mambo yangu niachieni mwenyewe!!".. tulivyozidi kumnyanyua akaanza kutuporomoshea maneno mara aseme "tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi sana!!"...π€£π€£
haha!