Big up kwako mpishi wa hii beer pendwa. Tangu wiki hii wanywaji tumegundua kuna mabadiliko makubwa sana katika ladha. Ni nzuri na ni laini vizuri kabisa. Endeleeni hapo. Kuna kipindi ladha ilianza kuwa ya ajabu ajabu this time, whatever you did. Endelea.