Serengeti: Mkutano Maalum wa CHADEMA Watikisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL)

sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .

 
Ukifananisha vyama vya siasa na madhehebu ya dini kwa ukubwa wake ,nguvu na wanachama ,mfanano wake utakaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…