Serengeti warudishe bia yetu pendwa

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Hii mada inawahusu wanywaji tu.

Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika.

Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe chuichui wa zamani.
 
Njano na Kijani(CCM) ni kwa kipindi hiki cha mpito tu, chaguzi mbili zijazo zikimalizika mtarudishiwa kinywaji chenu pendwa.
 
Siku naipiga tarumbeta kama funda nne hivi nikahisi nimeuziwa novida,kumbe ni Serengeti lemon
 
Njoo kwenye balimi bia ya wakulima.....
 
Dah nilidhani ni mimi tu nakereka na haya mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…