Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Una habar hiki kiswahili chetu ni lahaja ya unguja... Hao wazaramo wanaongea lahaja gan ya kiswahili?
 
Nimezaliwa nimekuta kwetu wanaongea kiswahili... Hivyo it's my first language
 
Ndo maana nikakwambia ni lugha yangu ya kwanza... Na nadhani ndo naijua vizuri zaidi... Hata kama mimi si mswahili,but it's my first language.
 
Unajiangalia wewe wenyewe sio?

Hii dunia ina ubinafsi sana!

Kabila lako wazazi wako walilotoka lugha ni kaputi na in 5 yrs to come inafutika!

Then utabakia na pride ya kimama sana eti mimi “Mswahili”!

Aiseee
Aliyesema mimi mswahili nan? Unajua maana ya mswahili? Mswahili ni mtu wa pwani... Mimi najua kiswahili...kwan kila anayejua kiingereza ni mwingereza?
 
Sio lazima aniambie,huoni hapo kaweka emoji ya Simba?UNAMJUA Mufasa WA KWENYE king Lion?Yaani bila shaka mkabisa najua kautoa humo.
Usitumie nguvu kubwa sana kumwelewesha.....

Atafute pia movie inaitwa Where'd You Go, Bernadette ya 2019.Wametumia Wimbo ule wa Jambo habari gani..

Kuna mzungu wakati watoto wanaimba anasema ''I love this song..is it African?Mwenzie anajibu Yeah its Kenyan Pop Song''

Nikajiuliza vitu vingi mno..mtu wa karibu kabisa akaniambia kwa jinsi tunavyoharibu Kiswahili Watanzania ni ngumu sana kushindana na Kenya wanatumia Fursa.

Mara nyingi hata ukisikia mahojiano ya Wasomi wetu kule BBC swahili...Utagundua Kenya..Uganda na Congo wana hangaika sana kunyoosha kiswahili chao. Wakati sisi tunaosema ni chetu..kila baada ya neno kuna Lugha ya Malkia na hata muda mwingine kuboronga juu zaidi.

Sema kwa kuwa wengi ni wabishi hasa kwenye kweli...
Watz wengi hatutumii neno Hakuna Matata
Sisi huku ni hakuna shida...Usijali ndio maneno makuu kwa wengi sana.

T
usiwalaumu sana Wakenya tubadilike tupunguze visingizio viiingi visivyo na sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…