Kuna mashine inaitwa sergion naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kifaa hiki nimesikia kuwa kina tibu magonjwa yote yasiyo ya kuambukizwa, je madhara yake kwa kutumia hiki nina vidonda vya tumbo nataka nikatumie, nimesikia dozi ni kama mwezi kila siku isitoshe ni radiation so i'm worry about it please help me.