Seria A hawakamatiki kuhusu ubaguzi wa rangi, golikipa Maignan aonja joto la ubaguzi

Wazungu hao?
 
Mwenzake dani alves alirushiwa ndizi akaila akaendelea kupiga kona bila kupoteza muda
 
Kama maokoto yanaingia hata waniite nyani laivu shauri yao nafanya kilichonipeleka tu
Sawa sawa ndo la msingi, unanijua wewe siyo nyani , na wewe unawaambia nyani weupe, Dan Alves alirushiwa ndizi akaichukua na kuila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ