Serie A: Inter Milan bingwa 2023/24

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
2,170
Reaction score
3,067
Ukiangalia msimamo na ushindi walio upata wamekaribia kabisa kuwa mabingwa kwa msimu wa 2023/24.

Wanahitaji kushinda mechi 5 tu kati ya 10. Hapa ni kama wapinzani wake nao wanaendelea kushinda.

Vinginevyo watakuwa timu ya kwanza ktangaza ubingwa katika ligi 5 bora barani ulaya.

Wametisha sana. Tunawapa maua yao.

 
Hatari sana
 
Kichwa cha habaria na uliyoyaandika ndani ya uzi vina tofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…