Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

Nakula raha, nimekifunga leo. Super cup hapa, Liver Vs Chelsea

Ngoja nikitafute hawa dstv wanatunyonya tu hawana ishu
 
Hiyo elf 40 huko mbeleni haitakuja kupanda bei? Usikute pengine ni bei ya kuvutia wateja wakishapatikana basi kinapaa hadi lak 1 na mgawanyo kibao mara compact+,premeum n.k
Mwaka wa4 huu natumia Canal+ bei ni hiyo hiyo. Pia Kwa wale Wapenzi wa pilau ikilipia Premium yao kuna pilau nyingi tena zinapikwa live kabisa ukiziona.
 
Endelea kuishi kwa kukariri
 
Mwaka wa4 huu natumia Canal+ bei ni hiyo hiyo. Pia Kwa wale Wapenzi wa pilau ikilipia Premium yao kuna pilau nyingi tena zinapikwa live kabisa ukiziona.
Hahah niliwahi kua na Azam Tv miaka ya nyuma nikaenda kule kwny other channels kulikua na frequency wana JF walikua wanazitoa uki add unapata free channels,nikapata 1 hio inaitwa Hustler Tv daah 24/7 ni pilau tu ilibidi niitoe tu tu aisee.
 
Endelea kuishi kwa kukariri
Mkuu you're better than that
Kama unadhani kuna mahali nimekosea unajadili tu kistaarabu sababu watu wameuliza wanataka kujua zaidi kuhusu hiki kisimbusi

Fafanua uhalisi mkuu haitoshi kusema nakariri maisha
 
Naona wameona waende sambamba na ving'amuzi vya ndani.
Ntajiunga soon kwny canal hapo maana mi ugonjwa wangu ni movies,mpira ni mpk niukute unaonyeshwa la sivyo sinaga hata ratiba.

Huku S/Sport wanatuchagi parefu halafu hamna kitu,sana sana nitamiss labda channel ya bbc brit kipindi cha top gear.
 
Mkuu you're better than that
Kama unadhani kuna mahali nimekosea unajadili tu kistaarabu sababu watu wameuliza wanataka kujua zaidi kuhusu hiki kisimbusi

Fafanua uhalisi mkuu haitoshi kusema nakariri maisha
Kitu usichokifahamu usikipigie zengwe.
 
Ntajiunga soon kwny canal hapo maana mi ugonjwa wangu ni movies,mpira ni mpk niukute unaonyeshwa la sivyo sinaga hata ratiba.

Huku S/Sport wanatuchagi parefu halafu hamna kitu,sana sana nitamiss labda channel ya bbc brit kipindi cha top gear.

Top gear canal ipo sena nayo kifaransa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…