Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

40,000 kwa mwezi ni package gani maana wana packages nyingi?

Na bei ya receiver yao pasipo dish ni kiasi gani?

Unaweza ukalipia mwaka mzima?
Bei ya receiver ni 150k, inakuja na kifurushi cha bure kwa mwezi mmoja.

Malipo ni mwezi mmoja mmoja tu.

Malipo ya mwezi ya vifurushi vya mpira ni 40k.
 
Bei ya receiver ni 150k, inakuja na kifurushi cha bure kwa mwezi mmoja.

Malipo ni mwezi mmoja mmoja tu.

Malipo ya mwezi ya vifurushi vya mpira ni 40k.
Inavutia, isipokuwa swali la package ipi unapata kwa malipo ya 40,000/= hujanijibu...

Maana kwa mujibu wa website yao, jamaa wana packages kama;

All Canal+ inakuwa na channels 224
Evasion+ inakuwa na channels 207
Access+ channels 169
Essential+ channels 130
Evasion channels 184
Access channels 150
 
Utakuwa shabiki wa Manchester united au arsenal
 
Essential+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…