Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

Vipi leo tutacheki match ya Burundi vs Tanzania kupitia Canal+?
 
Nashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
canal hawana lesen Tanzania...wao wanarusha matangazo yao kwa nchi zinazoongea kifaransa tu
 
canal hawana lesen Tanzania...wao wanarusha matangazo yao kwa nchi zinazoongea kifaransa tu
Naomba kuuliza, mbona Zanzibar wameunganisha channel za CANAL kwenye Cable TV zao na wanaonyesha mpira kupitia hizo channel kwa malipo ya sh. Elfu kumi tu kwa mwezi. Kwanini na Tanzania Bara kusiwe na Cable TV kama hizo waunganishe CANAL watu wapate burudani ya soka kwa gharama nafuu kama Zenji?
 
Cable kwanza ni wizi .
Alafu mbona bara ipo sana tu hasa mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…