Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Mkuu hapo kwenye hio list yako zenye mfanano na Narcos hapo au Ganglands ni zipi, mi hizo ndo ulevi wangu.Breaking bad
Prison break
Narcos
Narcos Mexico
Better call Saul
Gangland
Lupin
Zerozero
Banshee
All of us are dea
Squid game
The blacklist
Gang of London
Zingine nyingi tu
Kupanda kwa dollar ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono.
Za drug lords na crime ?Mkuu hapo kwenye hio list yako zenye mfanano na Narcos hapo au Ganglands ni zipi, mi hizo ndo ulevi wangu.
Ndio maana Kuna uzi wa uchumi usikute we Ni wale wa
HIVYOHIVYO!... wala hujakosea 👍🏾Ndio maana Kuna uzi wa uchumi usikute we Ni wale wa
Other nigga makes memes
Others makes millions
Ee mkuu, hizo ndo zanguZa drug lords na crime ?
Peaky blindersEe mkuu, hizo ndo zangu
Better call Saul ni breaking bad1. Breaking Bad ( Best TV Series of All Time)
2. Chernobyl
3. The Ozark
4. Better Call Saul
5. Banshee
6. The Last of Us
7. The Brave
8. Six
9. Queen of South
10. Blacklist
11. Blindspot
12. Strike Back
13. The Last Ship
14. Magnum P.I
15. Shooter
Hutojutia Muda wako Kutazama TV-Series yoyote kutoka kwenye hyo List. Namba 1 ni my Best TV-Series ya muda wote since nimeamza kutazama TV-Series.
Tofauti kabisa, hii Ina zungumzia maisha ya Saul.Better call Saul ni breaking bad
Hii series hatari, sio za sasa hivi story nyingiKING GWANGGETTO