raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 817
- 938
The last of us mapunga yaliharibu series1. Breaking Bad ( Best TV Series of All Time)
2. Chernobyl
3. The Ozark
4. Better Call Saul
5. Banshee
6. The Last of Us
7. The Brave
8. Six
9. Queen of South
10. Blacklist
11. Blindspot
12. Strike Back
13. The Last Ship
14. Magnum P.I
15. Shooter
Hutojutia Muda wako Kutazama TV-Series yoyote kutoka kwenye hyo List. Namba 1 ni my Best TV-Series ya muda wote since nimeamza kutazama TV-Series.
Nilijisikia ovyo sana kuona Bill na Frank wanapumuliana aisee!The last of us mapunga yaliharibu series
Blacklist ni noma bossMkuu una uhakika the blacklist ni moto? Namalizia ku re-watch breaking bad nitaanza na hiyo aise.
1.Prison breakprison break inatosha...