Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Mimi ni mpenzi sana wa movie za wazungu napenda sana kuangalia..
Toka utoto wangu nilikua nikishika remote lazima nipitie chaneel za kizungu kuangalia kama kutakua na movie nzuri niangalia,
Nilipofika darasa la saba, nilianza kuangalia kila movie anayoitoa Dj Afro, jamaa ni anajua na siku zote anasema utamu wa movie ni kuilewa na ndicho alikua akikifanya Dj afro, akanifanya kupenda wachina na kujua mastar wengi wa china..kama
: Jack chan
: Donnie Yen
: Steven chue
: Jet lee
: Jack yu wu ching
: Iko Uwais
: Sam Hong
: Takeshi kanishiro,
Nikangalia sana wachina na wazungu kwenye short movie
Mala Dj afro aliingia kwenye movie za kihindi, nikaenda nae nikiwa kidato cha tatu hapo sikuwahi kupenda movie za kihindi ila Dj afro alinifanya kujua Muhindi ni nani. Nikawajua mastar baadhi ambao hadi leo nawafatilia, wakitoa movie lazima niitafute
: Allu Arjun
: Ram Charan Teja
: Amir khan
: Akshay Kumar
: Salman khan
: NTR rama rau
: Prabhas
: Tiger Shroff (ni fundi dunia)... n.k
Nawengine wengi sijawataja asee wahind nawakubali hadi kesho action zao sio nzuri sana ila wanajua sana kutunga story kwenye nyanja tatu na ninazipenda siku zote
: Drama, : Family, : Telugu.
Sema huyo mpuuzi mmoja Tiger Shroff ni anapiga kama Donnie Yen.
Sasa toka niwe mwana kijiji nimeanza kufatilia series za kizungu pia, na wahind wa short movie sijawaacha maana wana story tamu sana.
Series za kizungu ninazopenda ziwe zinahusu nyanja zifuatazo:-
: Drama, : Crime, :Action, : Romance,
( : Adventure na : War - kidogo)
Mbali na hapo siangali, horror, history na sci-fi sipend kabisa.
Series nilizoangalia hapa karbu nikazipenda ni..
: You 2018
: Hanna 2019
: The punisher
: Wu assassins
: Jack Ryan.
: Money heist
: Vikings... n.k
Sifa ya mim kupenda movie au Series, kuwe na character mwenye true love (visa vya mapenz ya kweli), character mwenye nguvu (action), akili nyingi na maujanja (clever), na zinazo zungumzia maisha ya kila siku.
Series zenye taarabu nyingi na umbea siangalii..
: Wakuu shusha jina la series yenye maudhui ya kijanja na yenye swagger.