Kuhusu wakubwa na wadogo kuanzia kesho mtaanza kuomba ajira upya kwang mimi. Njo na karatasi iliyoandikwa taarifa zako kamil. utaandika majina yako yote matatu. Mwaka ulozaliwa. Kazi unayofanya hiv sasa au taaluma ulobobea. Baada ya hapo utaweka namba ya simu ya kawaida na utanipa ya wasap. Na mwisho utaandika kama ni mkubwa au mdogo.