Nnachotaka kusema, hapa nilipo kuna uwezekano mkubwa wa kutokea tukio siku za usoni. Probability ni asilimia 60. Wameitisha kikao chao batili mimi hawakunihusisha. Kwa maneno hawa watumishi hawataki kufanya kaz na mimi na mpaka sasa wapo kwenye mgomo.