Series (Special thread)

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
 
Karibu sana Mkuu Rocky inaanza January sijajua tarehe, naisubiri kwa hamu kuu maana inaonekana itakuwa bomba. Pia ukipata nafasi itafute movie inaitwa Selma ya Oprah inasifiwa sana. Inaonyesha jinsi weusi US walivyonyanyaswa katika kuzidai haki zao mbali mbali haki ambazo pamoja na kuwa kuna ahueni lakini safari bado ni ndefu.

Mkuu BAK asante sana kwa series hii mkuu nashukluru kunipa taarifa aise
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mkuu BAK nitafanya hivyo mkuu
Ikianza naomba uniambie aise niitafute mkuu
 
Last edited by a moderator:


natafuta online ..naona porn movies tu zenye hilo jina....

mkuu kama una link nipe ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…