July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Atoto yani wewe ndio umeonesha kuwa wa mwisho kuanza kuangalia S02 ya empire. Jitaidi twende sawa kabla hatuja imaliza tuka anza subiri S03 😁😁
Kuna hizi mpyaa mwezi huu septemba
1.Quantico
2.The Player
3.Limitless
4.Minority report
5.Narcos
6.Bastard Executor
7.Public Morals
Katika hizi kuna yenye mwelekeo wa 24 au homeland? Yaa theme za hvo?!
Pole aisee..Nilijisahau..Ila bado hujachelewa.Fanya uicheki...Na "If loving you is wrong" season 3 ep01 wameiachia juzi
Hiyo Quantico ndo intelligency...conspiracy..nlichek trela lake ni story ya mwanfunzi wa FBI anakuwa framed na tukio la kigaidi....pia kuna Blindspot nmesahau kuiweka hapo pia ina theme dizaini hzo.....Angalizo wengi tumekuwa addicted na 24 kwa kweli...
Pole aisee..Nilijisahau..Ila bado hujachelewa.Fanya uicheki...Na "If loving you is wrong" season 3 ep01 wameiachia juzi
Mm kwakweli haijanipa mzuka sana...
Kila nikiwaza ushoga wa mule napata ukakasi kuendelea nayo.
Duuuh..season 2 ilikuwa poa sana,,Fanya uicheki..Empire inaonekana ushoga season hii ndo utashamiri zaidiAlafu ujue if loving you is wrong sijaangalia season2, bora umenikumbusha nilishaisahau
Tutafanyaje sasa na kila movie wanayotoa now ufirauni huo umo, tuangalie tu vile vya msingi, hayo mengine wabaki nayo wenyewe.
Duuuh..season 2 ilikuwa poa sana,,Fanya uicheki..Empire inaonekana ushoga season hii ndo utashamiri zaidi
Alafu ujue if loving you is wrong sijaangalia season2, bora umenikumbusha nilishaisahau
Tutafanyaje sasa na kila movie wanayotoa now ufirauni huo umo, tuangalie tu vile vya msingi, hayo mengine wabaki nayo wenyewe.
Hizipia ni shida ila watoto laini laini hazito wafaa
Narcos
Gangrelated
Atoto na kaboom mnazijua hizo series?😯