Kunywa mtori nyama zipo chini hukoThe agency mbona naona haieleweki 😃 nimecheki kipande kimoja ,au utamu uko chini
sio type yako achana nayo tafuta unayo endana nayoThe agency mbona naona haieleweki 😃 nimecheki kipande kimoja ,au utamu uko chini
game lipi ulilipendaWazee nimemaliza SQUID GAME So2. Kwa kweli nime - enjoy hii series. Wacha tusubirie So3.
Pale sio powa mkuu ni balaa sanaIle game No.1 ya kukimbia kuvuka mstari ndio imenisisimua nilikuwa najaribu kuimagne je ningeshiriki ningetoboa?
Karibu sana mkuu 😀Aliyetoa recommendation ya huu mzigo nampa maua yake🔥🔥 nimeimaliza leoView attachment 3189571
Hutajutia mkuuNgoja niidownload
Naipa 8/10Kali sana nilipendekeza humu watu waiangalie
Hata kwenye muvi ya Babylon walionesha namna sauti zilivyoingizwa kwenye muvi.Naangalia Documentary ya "Titans: The Rise of Hollywood", Kumbe WARNER BRO ndio Film studio ya kwanza kuingiza sauti kwenye movies 1927.
Sidhani kama ni gharama, bali ni marketing strategy tu.Sikuhizi gharama za uigixaji zipo juu hapa ndio squid gme imeishia?
Nimemis series zilikuwa na episode kuanzia kumi kwa season moja. Unaanglia mpaka unatoshekaView attachment 3187546
Huyu dada wa nae bwana wake alimkuta kwenye game 😀😃ila Kuna onyo kalii alipewa na wale wahuni aisee alikuwa mkimyaaView attachment 3189614View attachment 3189615
Nimependa namna hii s02 ilivyogusia pia maisha ya hawa watu kwenye pink jumpsuits (s01 walionekana kama robot tu), ila imeishia katikati sana😂
Wailete tu wanatupa sana arostoSQUID GAME SEASON 3 2025
Iko poa sana , japo ipisod ya kwanza walituchezea [emoji1]Wazee nimemaliza SQUID GAME So2. Kwa kweli nime - enjoy hii series. Wacha tusubirie So3.
Dogo mzungusha jicho hapo shavu linazidi kunona😁😁
Ukikosea umeishaDogo mzungusha jicho hapo shavu linazidi kunona😁😁