Kuna episode moja huyu jamaa alipigwa risasi ya tako.. daah nilicheka balaaKama hukuwahi kuangalia kabisa The Punisher... [emoji16] Mwambie alieko pembeni yako akupige konzi la kichogo!
View attachment 3196723
Manga mnazipatiaga wapiNimesoma kwenye manga yote...
Nangojea tuu kuangalia Series
Punisher1 ndio ilikuwa nzuri. Hivi huyu mwamba ndio kaigiza extraction?Kama hukuwahi kuangalia kabisa The Punisher... 😁 Mwambie alieko pembeni yako akupige konzi la kichogo!
View attachment 3196723
Hapana, extraction hakuigiza yeye.Punisher1 ndio ilikuwa nzuri. Hivi huyu mwamba ndio kaigiza extraction?
Naomba kujuzwa muvi zake nyingine
Hapana Mkuu me Uvumilivu huwa sina😃Sawa Mkuu. Nikajua umeinasa mahali season 2 yote.
Pamoja Mkuu
Wajina wangu huyo FRANK CASTLE alikua anawatapisha damuKama hukuwahi kuangalia kabisa The Punisher... 😁 Mwambie alieko pembeni yako akupige konzi la kichogo!
View attachment 3196723
Mwana anapiga hadi na nyundo huyuKama hukuwahi kuangalia kabisa The Punisher... 😁 Mwambie alieko pembeni yako akupige konzi la kichogo!
View attachment 3196723
Vyuma vikali vinakuja.March 28
Hata series zilikua chache , bado series za sasa haziingii mle hata kwa mbaali tuuSasa Mkuu anachosema hapa ni sawa na shabiki wa mziki wa bongo fleva wa Miaka ya 2000. Unaweza kurudia mara kwa mara kusikiliza ngoma za kina Pfunk Majani. Ila ngoma ya sasa hivi mfano komasava hutotaka kuirudia kuisikiliza Mara Kwa Mara.
Ni kweli prison break miaka ile ilikuwa balaa na series zilikuwa chache.
Ni nzuri sana hii 🔥Hata 1 sijaanza kudadeq
YA mwisho ni episode ya ngapi?
bado mbili ndugu yangu msimu uisheYA mwisho ni episode ya ngapi?