Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kabisa π π πNi mwezi wa toba huu Cassano...
Nilikuambia nasubiri season 2, kumaanisha 1 tayari nilishapita nayo,Yeah ππ series Kali sana hii
Kabisa maana jana niliwaka mapema sana mwanangu πNilikuambia nasubiri season 2, kumaanisha 1 tayari nilishapita nayo,
Nakubaliana na wewe ni kali mno..
una hakika hukuwa ushatundika masanga Cassano..?
Inaitwa darkUna maanisha dark city the cleaner?
From halafu hapo wanatokea kunguru waleππ
Low budget story ni kaliHounds of war ..
movie ya kawaida
Bila kuchoka hutojutia bando lakoKwakuanzia sio mbayaView attachment 3270237View attachment 3270239
Kaka hapo inakuwa umeyatimba yaani hakuna kurudi ulipo Toka ukijifanya mbishi umeisha vibaya mno π π π
Hio sio from kweliKaka hapo inakuwa umeyatimba yaani hakuna kurudi ulipo Toka ukijifanya mbishi umeisha vibaya mno π π π
SahihiLow budget story ni kali
Tafuta after math
ivi kuna series kali kuwai kutokea kama prison break . hii ndyo best of all time
https://kinogo.org/12212-mertv-na-99.htmlIchekini hii serious Kali sana ni ya kirussiView attachment 3264416
Inahusiana na jamaa moja ambaye ni criminal ambaye ameshakinukisha kwenye makundi ya kigaidi na vile vile anatafutwa na polisi so mara nyingi kukwepa kukamatwa au kujulikana huwa anaamua kujibadilisha sura kwa kufanya surgery Sasa akaamua kuchukua sura ya mfanyabiashara fulani ambaye Hana Mambo ya kiharifu kabisa, huyo mfanyabiashara anajikuta anaingia kwenye balaa zito kwa sababu ya yule criminal kuchukua sura yake na kufanya matukio ya kiharifu. Yaani hii series inahamshahamsha mwanzo mwisho ni Kali sana
Vincenzo Jr
Mr Q