Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 669
- 1,275
mbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,Ushaanza kuangalia Squid game 3, mi nipo ep 02 hivyo nakushauri andaa tissue, machozi yatakutoka tu ππ
Yule aliyekuwa yupo tayari kumuua mpaka mwanae kisa pesa ππmbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,
Ila SG imenifanya nifikirie kiwango cha TAMAA ya mwanadamu, katika kitu huyu kiumbe hawezi kamwe ni KURIDHIKA..!!π
π π umejitahidi ππ»ππ»mbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,
can you Imagine, na mwanzo nilidhani anataka kusaidia..!!Yule aliyekuwa yupo tayari kumuua mpaka mwanae kisa pesa ππ
Hahahaπ π umejitahidi ππ»ππ»
Oya unaharibu misijaanza bado
Dah samahani sana nlijua tayari ushaona ππOya unaharibu misijaanza bado
Pitia juu zishawekwaDondosheni na single movie kali
Dogo kajipata ππ naona huu mzigo ukiendelea season 4 π
Huyu kazi yake kuuliza tu kisiwa Kiko wapiππ
Huyo dogo wa Squid Game kweli ni useless character
Dogo kapewa namba? Ndo nahangaika kuishusha hapa
Ni Kali sanasquid game s03 ni kali?