chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
najifunza mnoo! ila sasa kuwakariri watu hivyo na uhusika wao ktk movies tofauti ndio cwezagi, hata majina yao halisi siyajuagi wala kuyatilia maanani, zaidi ni majina wanayotumia kwenye movie
Mi series za 2014 nilizopenda
:tyrant
:24 live another day
:the last ship(ina swaga la ebola)
: scandal(saivi naona wapo kwenye winter break)
:revenge
Hiyo 24 hata Mimi ilinishinda mwanzoni lakini badae niliimaliza yote
Hivi hakuna alietazama the last ship na falling skies humu ndani?????
Yan zile flushback za lost uspokua makini hutaelewa kuna ile sehem ambapo john lock alikufa alaf island ikamrudisha
yaani ilinipaga shida hiyo movie, niliirudia sana
usisahau na
the 100
extant
under the dome
revolution(inasadikiwa imezuiliwa kuendelea na no 3)
arrow( ingawa hii cjaipenda kianzia s3)
24HRS nikiboko
Nimeangalia series nyingi tu ikwemo prison break,arrow,nk but 24hrs niboko yao...
kama ukiangalia 24hrs yaani movee zote za action utaona wanaiga 24hrs
Mara nyingi ni maslahi ila kwa case ya lost ilikuwa ni ngumu kukeep mastaa maana ndio series iliyokuwa na characters wengi kama ilivo Game of Thrones halafu location yake ilikuwa Hawaii na New Zealand so inatakiwa wakapige kambi huko huko hapo ndio inawashinda mastaa na by the time Michelle alikuwa staa Mkubwa..
Mi napenda udirector sana ndio maana napendaga filamu ambazo zinakuwa ngumu kuzitengeneza kama ilivokuwa kwa lost na inavoendelea Game of throne...
J.J Abraham alitumia aidia ya kipekee na nzuri sana katika lost ndio maana alipotengeneza Revolution akaleta theme kama za kwenye lost kuanzia costume mpaka location
last ship naitamani muendelezo wake lakini cjui hata wataiweka lini hiyo falling skies cjaiangalia!
Mie starehe yangu kubwa ni kujua crew nzima ikiongozwa na director....
Movie ndio maisha yangu ilifikia kipindi chuo kizima walikuwa wanakuja kuchukua movie kwangu...
Na ili niangalie movie or series lazima nijue actor na director.
teh! teh! hatutifautiani! ukiianza inaboa, ep 1 na 2 lakini ukiingia ya tatu na kuendelea hutaiweka chni! na ndipo utakapoelewa who is jack bower!
Nashukuru sana kwa kuliona hiloo...ndio maana najikuta naikubali zaidi blacklist coz walau wanajitofautisha kidoogo...
Ila jamaaa wa 24 mtu mbaya sana.kafanya wengine wakifanya kitu naanza kuikumbuka yenyewe tuu...
Hata hizi movie za white house down na zingine za hivo naona wanaenda mule mule alimopita mtunzi wa 24.
24 ndio series pekee ambayo nimeirudia zaidi ya mara mbili kwa season zote tisa(can you imagine???)
Daah! nilikuwa naisubiria sana nilidhania wanaendelea kuandaa. Ile series naikubali sanaMkuu Teravona ni ya mwaka jana walisitisha ikiwa season 1
Nadhani last ship itaendelea April kama sikosei
du!? naingoja kwa hamu! maana story yake tamu ka nini!
ni kweli aiseee, kuna dada yangu nilimsimulia kuwa ni movie nzuri akaitamana kumpa akaishia episod ya kwanza, akaniuliza movie gani hii sasa!! cku nyingine nikakaa naye ili aconcetrate, weee alipomnogea hakuiacha mpaka ikaisha
Game of thrones ni kitabu mzeee....na kuna kipindi kulikua na uchambuzi wa kinachofanyika ktk TV show na yaliyomo kwa kitabu kama kuna uhalisia flani..especially ishu ya utabibu kwa yule lanister aliekatwa mkono na akakaa karibu siku mbili bila kuwa attended jamaa wanamind inakua uongo mwingi.
Last Ship ni one of my best series kwa 2014... naisubiria kwa hamu season 2... sambamba na Power as well as Legends huku nikiisubiria kwa hamu January 28 kwa ajili ya Season 3 ya The Americans ambayo kwangu mimi ndo best pure spying series.