Series (Special thread)

Nimerudia kufungua hiyo link mbona inanionyesha vitu za wakubwa? 😹😹 khaaaaa nachoka jamani..
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒWe nitakuletea link ya telegram πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huko si ulinipaga wakati nataka kuangalia ile series gani vile, nkashindwaa

Nafungua tsap kwa pc
Sogeza hiyo link huko, nione patasemaje penyewe
Game of thrones πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

We ulidownload yote ukashindwa kuangaliaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Pow Dakika 0
 
Hapo nimejaribu kumwonesha depal tu inavyo someka mimi ni mwendo wa 720p. Series kali kama day of the jackal ni mwendo wa 1080p. Kwa mfano leo wakileta defending jacob, your honor, dexter, NEMESIS, breaking bad zote hizo nitatembea na 1080.
Hii breaking bad ilinishinda aseee
 
Hivi kuna series ya kuhusu madawa, utakatishaji pesa ina zidi breaking bad? Tukiachilia mbali OZARK?
Kwenye category ya madawa na utakatishaji pesa naiweka Narcos

Huyu jamaa Pablo alichoma zai ya dola milioni 2 ili tu apate moto wa kuotea yeye na binti yake wakiwa mafichoni.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…