Ooh sawa hii inaonekana kali ngoja niishushe1. Conspiracy (makubliano baina ya watu kufanya jambo la hatari/baya)
2. Secret project (ikiwa inafanyika kwenye facility moja chini ya ardhi)
Hivyo Neagley kama star wa muvi analo jukumu la kusambaratisha hivyo vyote huku akikumbana na vikwazo vya askari ambao ni corrupt wakipewa nguvu na watu wenye UKWASI

Nimelipia hii sema kwenye pc quality mbovu balaa
Hii orodha ngoja niitunzeKutoka Twitter
Huyu mwana noma sanaThings gonna get messy.
Jiandae kuishusha kwa 1080p october 30 kama wataachia yote.
View: https://youtu.be/nTOf1FIsBcs?si=McrekTi0B4u38_VQ
Aisee masela na ma mamiloo mlioko hapa don't miss this one
The bay harbor butcherHuyu mwana noma sana
Series ninazozikubali hizoMobland S2 imeanza na moto ule ule iloishia nao
Vitu vyangu hiviMeri fercking Christmas actions za kutosha na kufurahisha humu ije chap tunaisubiri
View: https://youtu.be/jN-OtU6etA0?si=xsM98kU0dDc6210e
Been talking about this since day one mbonaOkay, so nobody is gonna talk how badass Neagley she is!!???
Hacheki na wowote, i hope next season Renee na Keno watakua a real couple
Jamaa atajipatia bikra saaaaaafi😎Okay, so nobody is gonna talk how badass Neagley she is!!???
Hacheki na wowote, i hope next season Renee na Keno watakua a real couple
Yaan yule binti ataki yaishe anamtaka live ili apone jeraha la mzee wakeNdo namalizia Lioness ep ya 8 hapa, kumbe heka heka zote ni Revenge ya Aaliyah?
Hiyo ndo maana halisi ya better to be enemy USA rather than friendKyle anakurupuka sanaaa anaudhi
Ngoja niidownload inanifaa hiiNimemaliza na ninaweza kui recommend. Kama unapenda damu damu hivi na mikasa ya kifamilia na ikiwa unapenda waingereza wanavyo charaza kingereza hii itakufaa.
NB: haina actions(mapigano) ila ina story nzuri na shoka linatembea kwenye miili ya watu hasa.
View attachment 3683260
Kwanza kabisa naungana na baadhi ya wadau wengine app ya Jamiiforum ni mbovu sana nimefuta nimerudisha web version😄Things gonna get messy.
Jiandae kuishusha kwa 1080p october 30 kama wataachia yote.
View: https://youtu.be/nTOf1FIsBcs?si=McrekTi0B4u38_VQ
Aisee masela na ma mamiloo mlioko hapa don't miss this one