Series (Special thread)

Hii App ni mbovu mno

Nilishairi waruhusu version za zamani ila wamekaza wanalazimisha watu watumie app ya hovyo
 
Watu wanafanya kazi bana halafu sisi huku na GB moja unashusha muvi nzima hadi unawaonea huruma waigizaji kwanini hukununua hiyo muvi kali

Hii muvi ni best kwa 2026 so far. Labda unitajie nyingine ambayo unadhani inaizidi hii hadi sasa

 
Naunga mkono hoja kaka huyu mwana huu mwaka wake nimeicheki leo hii noma sana ila kuna kipande kimeniliza mno kile mwana kamtaja isabela dah!
 
Kuna kipindi nilidownload hii na niseme tu kwa ujinga wangu niliifuta bila kuipa nafasi ya kuitazama.


Itoshe kusema wadau mlo recommend hii kipindi cha nyuma huko mnisamehe sana!

What a master piece 🙌🙌🔥🔥🔥

NB: Sio ya kila mtu, kuna watu wana haraka zao watasema imepoa.
 
Chuma kalii sana hii
 
Tamka Chinobo😀, Mini-series hiyo kali sana, based on true event. Wale wazee wa action nying hii haiwafai.
 
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini inaleta hivyo na wakati muda si mrefu nimetoka ku stream series ya Paris has fallen.

Sijajua kuna changamoto gani maana nimekuwa nikiitumia kupitia PC bila shida ila baada ya screenshot yako nime click hiyo link kupitia simu imenigomea.

Nimejaribu ku switch domain maana ipo ya su na hiyo ya ru ambayo ni ya kirusi. Lakini zote zimegoma.

Ila pia hii site ni nzuri sana kwa streaming na download (japo kwa download haipo friendly)

Cine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…