Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya. Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
leonardo da vince atoto chuma cha reli chige na wengineo
hii how i met your mother nimefuatilia sana,inachekesha na kuvutia halafu leo nimemalizia season ya mwisho,
yaani couples zimependana huko mwanzoni mpaka mwishoni tena couples zote halafu at the end wanaachana wanaangalia kwa macho ya kutamaniana ila no way ndo wameachana,aaaah nimekereka at the end,yaani unatamani wasiachane halafu wanaachana
Ending ya ''how i met your mother'' imeniacha kwenye huzuni,aisee series zinazoishia kusikitisha zinaboa yaani ni nzuri balaa ningejua inaishia hivi ninsingemalizia
Nani anajua updates zozote za revolution?? Maana nasikia ilisitishwa kuonyeshwa , nani anajua kuwa itaendelea lini labda. Au season two ndio mwisho pale?
leonardo da vince atoto chuma cha reli chige na wengineo
hii how i met your mother nimefuatilia sana,inachekesha na kuvutia halafu leo nimemalizia season ya mwisho,
yaani couples zimependana huko mwanzoni mpaka mwishoni tena couples zote halafu at the end wanaachana wanaangalia kwa macho ya kutamaniana ila no way ndo wameachana,aaaah nimekereka at the end,yaani unatamani wasiachane halafu wanaachana
Mi nlikuwa namkubali sana barney yule playboy.....ila nilivokuja kusikia kumbe ni shoga na kaolewa....anaitwa Neil Patrick Harris.....niliboreka sana.....ni moja ya series ambazo mtu atakiwi kukosa kuangalia.........
leonardo da vince atoto chuma cha reli chige na wengineo
hii how i met your mother nimefuatilia sana,inachekesha na kuvutia halafu leo nimemalizia season ya mwisho,
yaani couples zimependana huko mwanzoni mpaka mwishoni tena couples zote halafu at the end wanaachana wanaangalia kwa macho ya kutamaniana ila no way ndo wameachana,aaaah nimekereka at the end,yaani unatamani wasiachane halafu wanaachana
series tamu sana atoto ila hii mambo ya kuishia single siyo,huko kote unategemea wataoana
Wakuu napenda sana series ya 24 niambie wa kufanana naye niitafute manake 24 ndio series ambayo inanigusa sanaaa. Tafadhali naomba ushauri nikutafute. Jf kiboko kila kitu kinapatikana.