Series (Special thread)

At the last, nimeona sehemu yenye watu wanaoweza kufikiri.
 
Hii series ya weed Kama inaboa vile ila inavyoendelea inafurahisha,namaliza season one hizo zingine nikaanza kuzitafuta,inafurahisha wakuu

C.C my atoto
 
Last edited by a moderator:
Mtu anapaa hapana hii imezidi

Hahaha sio kuwa anapaa bali ana magic suit ambayo inafanya awe na mwendokasi kama wa elektroni ya umeme au mwanga...

Kwa wapenzi wa Sci-Fi ni series nzuri tu mbona...
 
Nimetoka tazama SERIES za

  • The Red Tent - safi kweli

Kwa sasa naangalia :- The Book of Negroes na The Empire, zimetengenezwa wakuu, mwenye nafasi ajaribu kutazama...

Nitazitafuta hizi bila shaka nitazipata...
 
Mkuu naona unapenda sana tv shows za kihistoria historia hivi...

Rome na Spartacus kuna mauaji hatari kama machinjioni hivi...

Hata mimi napenda sana za aina hiyo baadhi ya nilizowahi kuziona:-
Spartacus
Rome
Da Vinci demons
Crossbones
Vikings
Game of thrones
Marcopolo
Black sails
The merchant of Venice
Merlin's
Reign
Sinbad
Hata my best movie ni Apocalypto na Troy
 
nimemaliza tyrant jana dah hutajuta pia kukaa na kuitazama tafuten wadau na hiyo tryant its all about middle east political regime
 
At the last, nimeona sehemu yenye watu wanaoweza kufikiri.

Karibu mkuu huku hakuna kejeli ,matusi au ubaguzi huku tunajifunza about life in general tuna enjoy through analysis ya tuliyo expirience after watching!
 
Hii series ya weed Kama inaboa vile ila inavyoendelea inafurahisha,namaliza season one hizo zingine nikaanza kuzitafuta,inafurahisha wakuu

C.C my atoto

wee usiniambie!! mie hiyo weed ninayo ckumaliza hata episod moja, ngoja nitaiangalia tena
 
Last edited by a moderator:
nimemaliza tyrant jana dah hutajuta pia kukaa na kuitazama tafuten wadau na hiyo tryant its all about middle east political regime

Uncle Jamaal katika hii unajifunza ni jinsi gani a child anaweza kuwa very innocent but environment,system can turn an angel to be a monster!
 
Hii series ya weed Kama inaboa vile ila inavyoendelea inafurahisha,namaliza season one hizo zingine nikaanza kuzitafuta,inafurahisha wakuu

C.C my atoto

sorry mkuu hyo weed inahusu nn ? na ni mwaka gani ?
 
Last edited by a moderator:
mkuu nlijua wataendelea dah wamarekan.bana series nying nzur wanasitisha sijui kwa nn

Wana vigezo vyao mkuu unaweza kuta series nzuri lakini zinapata watching rates ndogo kama Missing,The event hata hostage at last zinasitishwa
 
wakuu blacklist ipo hewan so wakushusha na washushe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…