Series (Special thread)

sorry mkuu hyo weed inahusu nn ? na ni mwaka gani ?

weed inahusu uuzaji wa bangi,mbinu na kuna matukio mengi humo,kuhusu mwaka imeanza 2005 na kuishia 2012
 
Hizo Sci-Fi mi hua naona ni uongo wa kupitiliza asee.

Hahah mkuu filamu na tamthiliya zote ni uongo au maigizo tu...

Ukitaka ku-enjoy yakupasa kusahau kuwa unadanganywa mkuu...
 
Wana vigezo vyao mkuu unaweza kuta series nzuri lakini zinapata watching rates ndogo kama Missing,The event hata hostage at last zinasitishwa

dah.mkuu.nikikumbuka event sijui kwa.nn ilipata watchn rates ndogo mm kwangu ni one ov the best series
 
Hahah mkuu filamu na tamthiliya zote ni uongo au maigizo tu...

Ukitaka ku-enjoy yakupasa kusahau kuwa unadanganywa mkuu...

ni kweli mkuu japo ni uwongo lakn kuna kauhalisia flan kanakuwepo. Kwamfano ukiangalia zile za kijasusi kama 24 hrs, blacklst zile mbinu za wale majambaz na magaid huwa ni vitu real lakn ndio hvyo vnatengenezewa picha japo wanazidisha kauongo...
 
my Viol umetazama atlantis?? ni nzuri nayo ina comedy najua u lyk those
 
Last edited by a moderator:
my Viol umetazama atlantis?? ni nzuri nayo ina comedy najua u lyk those
hiyo bado sijacheki dear,nitaitafuta,umeangalia friends!nimeanza yaani kama ucheshi unazidi mno sijui huko mbeleni ni nzuri au vipi
 
hiyo bado sijacheki dear,nitaitafuta,umeangalia friends!nimeanza yaani kama ucheshi unazidi mno sijui huko mbeleni ni nzuri au vipi

sijaiangalia hiyo, duuh nina madeni ya series nyingi cjui nitatulia lini nizianze, utanipa feedback kama ni nzuri huko mbeleni
 
nmeanza kuangalia black sails na scorpion znaonesha ni nzuri sana. nina recommend kama haujaziona ztafute 😀
 
nmeanza kuangalia black sails na scorpion znaonesha ni nzuri sana. nina recommend kama haujaziona ztafute 😀

hiyo black sails niliiangalia sikuipenda sn
 
Breaking bad
Kyle XY
Numbers
IRIS
 
nmeanza kuangalia black sails na scorpion znaonesha ni nzuri sana. nina recommend kama haujaziona ztafute 😀

Nimeona zote kama episode tano kila moja hazijanivutia sana may be unambie ka mbele ni nzuri but so far niliona za kawaida!
 
dah.mkuu.nikikumbuka event sijui kwa.nn ilipata watchn rates ndogo mm kwangu ni one ov the best series

Mkuu ukipata time soma juu ya astronomy na NASA utapata kitu mi pia inabaki kuwa series niliyowahi kuipenda na vilevile angalia the 100, The V na outcast hizi zina story kiasi flani zinaendana na the Event
 
Ina colour nzuri sana gud ancient story!na characters wametumia famous names in Greek history!

japo mie sio mpenzi sn wa ancient stories ila hii ilinivutia sana, haswa yule bonge, he is so funy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…