Series (Special thread)

Mkuu hii sijaiona inahusu nini na ni genre ipi?

ni nzur sana mkuu. inahusu muendelezo wa capten amerika baada ya kufa kwake. star ni yule demu wake pamoja na yule genius aliyemtengeneza capten
 
Mbele inanoga sana...

Nimetoka kumalizia kutazama season yote ya nne wakati huu wa holidays...

Season ya kwanza zile episodes za mwanzo wanaanza slow ila mbele kidogo story inaanza kuwa twisted na hapo ndipo raha ya series inaanza...
Ila sijaelewa hivi ndio wamemaliza hii season 4 au bado wanaendelea....kile kichapo walichopata Pakistan haitakuwa fair kama hakitalipwa
 
pamoja na hiyo naangalia pia marco polo pamoja na How To Get Away With Murder !
zote ni nzur

How to Get away with murder ndo na mie natazama now,hiyo Marco Polo inahusu nini Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…