Series (Special thread)

hapana minimekwambia breaking bad....the blacklist mi ninayosiku nyingi lakini nilishindwa kumaliza hata episod 1. au labda umechanganya na skendo

oooh!!! scandal imeninogea balaaa, haya mapenzi haha.......
 

Yaani kumuweka Terrence na Taraji wameniweza.....my disease kabisaa....love my Cookie....back to take what belongs to her....can't wait leo....lol
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Taraji baada ya kuisoma script na kuambiwa nafasi ya Terrence ingechezwa na Wesley Snipes akawaambia "I am in only if Wesley Snipe's part will be played by Terrence" wakamsikiliza, the rest is history one of the best shows on TV na inazidi kuvutia audience kila wiki.


Yaani kumuweka Terrence na Taraji wameniweza.....my disease kabisaa....love my Cookie....back to take what belongs to her....can't wait leo....lol
 

Am glad walimsikiliza, sioni mtu mwingine yeyote akiimudu ile nafasi kama Terrence sijui kwa nini? he he he he he....nisivyompenda huyo mke mdogo mtarajiwa Anika,utadhani ni mke mwenzangu....lol...TeamCookie for life....! kwa kweli nilidhani Being mary jane ndio the best but Empire wako vizuri zaidi.
 
Reactions: BAK
lol!!! Hahahahahah mke mdogo wengi wanamchukia lakini naye part yake anaicheza vizuri sana. Waangaliaji wa Empire asilimia kubwa wameanza kulalama kwamba saa moja haitoshi wanaomba Fox waongeze saa nyingine ili iwe 2 hours, sijui kama Fox watatimiza maombi ya wapenzi wa hii show.

 

Waongeze tu masaa mawili,mi naomba Terrence asife ila nataka yule Head wa Security wa Empire (devoe) awe na Taraji wamtingishe kidogo Terrence....He is too comfortable,nataka kujua msimamo wake na nimuone akipambana kwa mwanamke aliyetoka nae mbali na ninayeamini anampenda kama alivyosema baada ya speech na investors.....lol
 
Reactions: BAK
Sterling hafi lol!!! Umeshastukia mchezo maana cookie na yule head of security walivyokuwa wanaangaliana kuna kila dalili kwamba kila mmoja anamtamani mwenzie, Luscious ataua mtu maana bado ana mapenzi tele kwa Cookie ingawaje hataki kuonyesha wazi wazi. Kuna rumours pia kwamba siku za usoni Mzee mzima Denzel anaweza kuzuka siku hiyo ndiyo ratings zitavunja rekodi kwa jinsi Denzel anavyopendwa na wengi.


 

Ha ha ha ha haaa uliposema Taraji alimpendekeza Terrence,nikawaza why not Denzel but nikaona hafiti sana,nitafurahi kujua ata-play role gani,ila naomba tu asiingilie Terrence na Taraji labda kama akifa,akiumwaga naogopa sana....li-sterling lisijebadilika likawa Denzel...lol...dunia ina mengi.
 
Reactions: BAK
Sidhani kama Luscious atakufa ila cha moto atakiona kwa ugonjwa wake wa ALS na pia toka kwa Cookie. Denzel atakuja tu kuongeza majonjo sijui watataka acheze vipi katika hii show lakini bila shaka he'll play a role that will attract more audience. Tusubiri tuone nini kitakachojiri. Haya acha niwajibike thanks a lot for your time on this thread. Usiwakose leo akina Cookie na Luscious kwenye Empire kitu kingine kinachonivutia ni uvaaji wao katika hii show na nyumba za bei mbaya kwa kweli wanajitahidi sana. Mafanikio ya show hii yamefanya Fox wampe show mweusi mwingine Morris Chestnut bado haijajulikana itaanza lini na title yake pia haijajulikana. Baadaye basi.

 
Viol have you watched scandal darling? chige je? if not itafuteni ni nzuri sn.

Sikuiangalia mpenzi niliipuuza kutokana na tittle we umeangalia je ni nzuri?
 
Last edited by a moderator:
Kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia nika downloard drama za kifilipino anisaidie basi
 
Huku kumbe kudhuri eehm.but m nashindwa kabisa ku enjoy movie. U torrent naona miznguo tu. Mtu mwenye link za ku download series direct wthout u torrent anipe plz wakuu. Nipo ns TVD yangu "the vampire diaries " ila hata za kikorea nazpenda apart from Hollywood movies. Haya wale wa kikorea tuanzie hapa pia kwa wa Hollywood naomba ushauri wa series nzuri
 
Bi mkubwa jaribu kupitia kurasa hadi kurasa tumeshadiskasi sana...

Hata hivyo kama unataka kupakua sirizi za kimarekani Kickass torrent ni nzuri...pia unaweza ukajaribu extratorrent...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…