Mkuu hii breaking bad nimeishia season two naona imepoa sana even though naona inakubalika sana
Revolution mwanzoni hainogi ila imenogeshwa na huyu jamaa
aisee breaking bad wengi wanaikubali hata nadhani imepata tuzo nyingi,hata kwenye internet wengi wana ikubali sana.
season 2 bado ipo kawaida kuanzia 3 na kendelea aisee huwezi kulala usiku utata uimalize,season 3 na kuendelea ndo kazi ya mitutu na mafia wa drugs inaanza.
kuna ''how to make in America''nimeangalia kidogo,aisee seems ya ukweli sana
Sasa we umeangalia breaking bad ukakuta huyu jamaa ndo adui??aisee mle alitisha mno
kweli tunatofautiana,mi nikita nilishindwa,nilishindwa pia 24 hrs.
umeangalia ''leverage'',ni nzuri
Leverage sijaangalia but ninayo but sijaipitia kwani inahusu nn?
Hiyo 24 hata Mimi ilinishinda mwanzoni lakini badae niliimaliza yote
1. Game of thrones
2. Da Vinci demons
3. Spartacus
4. The 100
5. Vampire diaries
6.prison break
7. Crisis
8.xiii
9. The event
10.,the originals
Hizo ndo series 10 nilizozipenda among many!
Breaking bad ni noma
Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake
Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea
Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series
''Dexter''inavutia sana kama umezoea series za kutisha mwanzo mwisho
The Event iko vizur mkuu
Napenda series zenye covert opps, drug cartels na illegal bizs, Intelligence n.k
Hizi ni some of them,
24, Homeland, traveller, strike back, prison break, banshee, hizo ndizo nilizozipenda, isijae uongo saaana kama arrow.
Kwa sasa naitafuta breaking bad kutokana na wadau mlivyoandika itakuwa nzuri tuu. Any suggestion on top of that niongezee...!