mkuu mimi napenda series ambazo kuna jokes,mapenzi,politics,intelligence,kuwe na blacks ndani.Mkuu hata arrow hujacheki??? Hata hostage??? Zitafutee mkuu
spartacus siipindi niliiangalia tu kwa vile sina la kuangalia kwa wakati huoNilikuwa nimeiacha but now naendelea namuona Walt amerejea kutoka hospital tatizo m unapenda ancient stories movies kama game of thrones, davinci demons,,Spartacus,cross bones na action series pia ka prison break,24 n so on but ancient stories ndo huwa choice zangu
1-The vikings
2-Da vinci demons
3-Spartacus
4-The tudors
5-Vampire diaries
mmmh!! mi nlonayo itakuwa imechakachuliwa basi eti ipo hadi ya pili
unalink inayo fanya kazi ili nipakue spartacus season 4? niliyo kuwa nayo account imefungiwa you tube.
Revolution mwanzoni hainogi ila imenogeshwa na huyu jamaa
mkuu mimi napenda series ambazo kuna jokes,mapenzi,politics,intelligence,kuwe na blacks ndani.
series kuna marobot mwanzo mwisho siziwezi,mfano legend of the seeker siikubali kabisa,sijui suprano siikubali
lol yaani series zako hizo ulizoangalia nimeambulia mbili nazojua,preason break na 24hrs
the hobbit
exodus
marco polo
american sniper
the flash
horrible bosses
boy hood
mkuu mimi napenda series ambazo kuna jokes,mapenzi,politics,intelligence,kuwe na blacks ndani.
series kuna marobot mwanzo mwisho siziwezi,mfano legend of the seeker siikubali kabisa,sijui suprano siikubali
katika orodha ya mkuu atato series ukiondoa ulizoziona zenye merits zako ni cris,hostages,missing, traveller, homeland security na revenge kuna hizi pia the 100 na arrow wametumia siraha za kisasa na kizamani lakini kuna ambazo zimesitishwa hazitakuwa na mwendelezo :- the crisis, missing, hostages na traveller for my advice take homeland security,the 100 na revenge
uwiii jamani nilivyokuwa naisubiri crisis na traveller kwa hamu kumbe ndio zishasitishwa
Hivi hakuna alietazama the last ship na falling skies humu ndani?????
Yap na sijui wanatumia vigezo gani kuzifuta
Uku napo kuzuri
falling skies nimecheki hiyo last ship ndio naicheki now