Series (Special thread)


Mmmmh! Km ni aina la black sails hapana kwakweli, sikuipenda
 

Atlantis se2 ndo mwisho hakina season 3
 
Wakuu... wale wapenzi wa SRIKE BACK imerud Season 5 is on air!
 
Hiyo sijaiangalia mpenzi inahusu nn?, jamani devious maids ni nzuri meipenda sana

Mie mwenyewe devoius naipenda... Sichoki kutizama . weekend hii naimalizia

Hiyo Get away with murder ni nzuri... Inaanza kama flashback.. Ila ni wanafunzi wanasoma sheria na wana lecture wao.. Very strict na proffesional Fanya kazi zake on time.. Sasa kila mwaka anachagua wanafunzi wa 4 wanajiunga na firm yake kufanya kazi.... Ila that time alichagua watano mwanafunzi huyo alimkuta na mwanaume mwingine wakati ana mume

Sasa hao wote wana character zao. Lakini kubwa hawa wanafunzi walikuja kumuua Mme wa huyo lecture wao... Alikua anacheat na mwanafunzi wa chuoni hapo maana ane alikua lecture anafundisha psychology kibaya akampa mimba... Alivojua akamuua na kumdumbukiza katika tank... Maana aligoma kuitoa mimba.

Hii series ilinifanya nitamani ningesoma law lol uitafute ukiweza.
 

Aiseee it seems very nice, nitaitafuta hii
 
Power season 2 is already here............

Whaaaaaaaaaaaaat? Tell me you're kidding! Power ipi? Talking of Ghost? Let me cross-check it!
OMG! Confirmed... Nilikuwa wapi hadi nikasahau kuiweka in my Calendar wakati kalenda yangu inaonesha my coming favorite show in Tyrant ambayo itakuwa premiered next week June 16! Thanks man, Power ipo top in my 2015 list huku nikiisubiria 2016 kwa hamu kuona what will happen to Russian Spies couple ndani ya The Americans ambao their cover is presumably to be blown up by their daughter!!!

Kinachonifurahisha zaidi kumbe hii kitu tulikuwa tunaisubiria wengi manake hata wao wenyewe:
 
Jamani pls pls naomba mwenye information za series ya hostages.nimeishia episode 15. Pls help nimeipenda sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…