Series (Special thread)

Hostages imeisha tayari.
Ilikuwa season moja tu.
Mwishoni dili limebuma.
www.kat.cr

Ohhh noooo nimeipenda sanaaa duuh hivi ni sababu zipi zinafanya hizi series tamu kuishia njiani duhhhh.pesa au serikali inaingilia kati ?
 
Habari wakuu!naomba mwenye link ya tamthilia ya burden of guilty(mi pecado)anisaidie ilikuwa inaonyeshwa itv,nimejaribu kugoogle nyingi wanaongea kimexico,ntafurah nikipata ya kiingereza kama iliyokuwa itv,natanguliza shukran zangu
 
Wakuu,
Hivi Arrow season 4 itatoka lini? Au ngoma ndio imeishia pale?
 
Yaani power kiepisode kimoja tu nshadata tayari hiiiii kitu itanipotezea kweli machungu ya 24..
On my waiting list ipo the last ship. I just can't wait for it aiseeeee...
 
Kwakweli hili swali hata mm nahitaji majibu yake

Kwa muonekano wa haraka ni kma imeisha pale...

Ila ukianza kuchimba kwa the way ilivoisha season 3 ni rahisi kwa kuwepo na season 4
 
mi si mpenzi wa series ila hii na Breaking bad zimenikosha sana. nilifurahi wale magay walivyopata ngoma. atleast walionyesha ubaya wa ushoga.
 
Wakuu,
Hivi Arrow season 4 itatoka lini? Au ngoma ndio imeishia pale?
Kwa muonekano wa haraka ni kma imeisha pale...

Ila ukianza kuchimba kwa the way ilivoisha season 3 ni rahisi kwa kuwepo na season 4
Kwakweli hili swali hata mm nahitaji majibu yake
Mzigo unaendelea, 4th season imeshakuwa officially renewed! Hata hivyo, itabidi tuwe wapole coz' kwa ninavyofahamu mimi hata casting bado haijafanyika! Anza kuifikiria Arrow kuanzia mwishoni mwa September!
 
Mweeee kumbe yaendelea!! Basi sawaaa
 
the flash
Flash
Quiksilver
Da vinci
last man earth
Intelgence
tommorows people
Pure
Damo
increment
gabril the tuner
touch the sky
beyond god's
believe
merlin
seeker
No ordinary famly
homeland
Go
ice chamber
24
Carrie
Constantine
Be free
....... ni nyingi aisee
 
the messengers is getting really good..ep09 imenibariki
 
Jamani mi naomba mwenye series ya Everybody Hates Chris na How I met your mother.

Mi nina Fringe kwa anayetaka..
 
Kitu cha the following ni noma sema yaniuz kwamba f.b.i wa mule hawana nguvu ata kidgo yan
 
Game of thrones sasa imekuwa too much kila actor anaeonyesha Kupendwa anakufa season 5 imeisha vibaya
 
Game of thrones sasa imekuwa too much kila actor anaeonyesha Kupendwa anakufa season 5 imeisha vibaya

Sijui kwann mm siamini kama john snow will die.....someone will certainly find him and he will be healed.
More surprisingly the person to find him will be a wilding.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…