Series (Special thread)

hahaaaa!! fiction inanogesha movie ati, ila mwisho wa cku anakamatika, ninaipenda sn nikita, haswaa njia walotumia kumkamata amanda

inaonekana ipo bomba sana cos unaisifia. Ipo mpaka namba ngapi? Niitafute?
 

Power naisubiria itoke season two aseeeee...."now I'll be the biggest gadamn drug dealer in NY"
 
Sema Hollywood siku hizi wanatuzingua sana na hizi series zao za episode chache chache...

Na kinachokera episodes 11 series imeisha,halafu unakaa kuisubiri season ingine kwa muda mrefu...wanaboa.

Hata sahivi nafatilia blacklist season 2,arrow s3,VD s6 na the originals s2,wananikera unakuta wameshuti episodes nne halafu zile zingine unakuta unasubiri kwa hata mwezi ndo inaanza kutoka tena.kama sasa zimesimama mpaka nakereka.
 

Mm zilinikoma wakati bado kuna PD proxy daaah....nilikua nashusha season nzima nzima kwa zile ambazo ndo nkua naanza zitazama na zipo torrent
 
Hiyo game of thrones wengi wanasifu ila niliangalia pale mwanzoni tu nikaona itaniboa tu

Hiyo kitu achana nayo kabisa sema S01 imepoa kidogo lakini uko mbele balaa....yaan hapa nlipo naisubir S05 Apr 2015
 

Hizo labda ngono.
 
Mie list yangu
1.lost (ndio naikubali sana)
2.24 .....yaani hakuna kulala
3.game of thrones ni hatari sijapata kuona
4.breaking bad iko vizuri
5.The Americans kama unapenda za CIA na KGB

Nmeangalia nyingi sana kama walking dead,under the dome,suits,homeland,traveller, the events,personal of interest, one tree hill,Spartacus, Rome,sopranos,every bad hates Chris, iris,revolution,greys anatomy, the secret life of american teenagers

Siri ya mtungi ni zaidi tuijuavyo bongo ile imetengenezwa na watu wa Hollywood.
 

hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo
 
Hiyo kitu achana nayo kabisa sema S01 imepoa kidogo lakini uko mbele balaa....yaan hapa nlipo naisubir S05 Apr 2015

John snow na imp wametokea kuwa character niwapendao sana....na watoto wa Nerd stark
 

Hiii kitu nimeipenda sana aseee.....can't wait
 
hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo

The event ilisitishwa kabisa na under the dome season 2 ina episode 13 imeisha tunasubiri season 3 ni real sio ya kuchakachua
 
hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo

Ni mbili kweli....event ilikatizwa
 

Mkuu wewe ndo una interest ka zangu for me game of thrones hata subtitle haipiti bila kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…