Nimesoma mahala....ile series kali sana ya 24 inandaliwa ingine....ila the boring part ni kwamba itakuwa na new characters including jack bour....! Nitammiss sana jack...
Sijaelewa..yaaani huyu jack wetu hatokuwepo au😕😕😕😕
Am fedup jaman loh....nimetizama Mr robbot...ushoga kama kawa....nimeidrop....these guys kweli wameamua kutuaminisha ushoga kuwa ni jambo la kawaida kabsa.....!! Binafsi nimekwazika sana naaza kuhamia korea sasa!!
Hakuna ila kugegedana nje nje
😁😁😁😁😁😁😁😁
Kuna Punga lilikua linamsuck FILLIPE LOBOS
Yaap....hatakuwapo....infact wamesema wanaleta character wengi wapya kabsa
Hivi last ship imeendelea? Hata sikumbuki niliishia episod gani maana niliishia kuna ile nyambizi inawasumbuaaa na ikadestroy lab zote, hebu nikumbushe ni episod gani hiyo?
Kama ni hivyo wakae nayo ukouko pambafu zao....24 without Jack ni sawa na ndoa bila mgegedo
Kama ni hivyo wakae nayo ukouko pambafu zao....24 without Jack ni sawa na ndoa bila mgegedo
Now iko episode ya Tisa..hio ilikua episode six
Thanx ngoja niipakue
Siyo kwamba ilishaisha hii ...wale jamaa walipata tiba au kilikuja tokea kitu kingine tena?!
Haikuisha, bado inaendelea, tiba ilipopatikana majanga mengine yakaibuka.
Jamaaa umenifurahisha sana....yaaan ninkweli aiseee....!! Jack nlijua huko Russia anakwenda kufanya mambo....kumbe ni deadend....halafu hii ijayo si ajabu ukameruni ukajaa humo!! Damn it!!
Ila sidhani kama watamtoa jack aiseeeeee....24 nzima imekuwa created kumzunguka MTU mmoja,Jack Beur
Teh teh teh, huo ufananishaji umenifurahisha!! Yaani kama sie tunaopendaga watu then movie ndio watatupoteza kabisa.
Me wakimtoa jack hawanioni.....MTU labda atoke baada ya kufa au awe mgonjwa sio huo uhuni