Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimeitazama series ya Game of thrones kabla ya hapo niliishia tu kuwa msomaji wa baadhi ya nyuzi zinazohusiana na uchambuzi wa movie ama kweli ni movie bora.
Mpaka sasa niko season 7 ila nimepata episode 7 tu tofauti na season zingine za nyuma ambazo zilikuwa na episode hadi 10 naomba kuuliza kwa wajuvi wa movie hii season ya 7 ndio ina episode hizo tu ama natakiwa kupamba kupata episode za mbele kama zipo.
Kwa sasa nipo episode inaitwa Eastwatch katika season hiyo ya 7