Season 7 ina episodes 7.Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimeitazama series ya Game of thrones kabla ya hapo niliishia tu kuwa msomaji wa baadhi ya nyuzi zinazohusiana na uchambuzi wa movie ama kweli ni movie bora.
Mpaka sasa niko season 7 ila nimepata episode 7 tu tofauti na season zingine za nyuma ambazo zilikuwa na episode hadi 10 naomba kuuliza kwa wajuvi wa movie hii season ya 7 ndio ina episode hizo tu ama natakiwa kupamba kupata episode za mbele kama zipo.
Kwa sasa nipo episode inaitwa Eastwatch katika season hiyo ya 7
Respect kiongozi.Shukrani sana mkuu nilikuwa na mawazo napataje episode hizo zingine
Season mbili za hii tayari ninazo nasubiri tu kumaliza Game of thrones vip ya tatu imeshatoka au bado zipo hizo mbili tu, Vikings pia inanisubir maana niliachia njiani baada ya kuipata game of thrones hapo bado prison break inaningojaRespect kiongozi.
Ukiimaliza angalia na HOUSE OF THE DRAGON ili uelewe chimbuko la hao Targeryens
Hizo zipo mbili hivyo hivyo. Vikings zipo 6.Season mbili za hii tayari ninazo nasubiri tu kumaliza Game of thrones vip ya tatu imeshatoka au bado zipo hizo mbili tu, Vikings pia inanisubir maana niliachia njiani baada ya kuipata game of thrones hapo bado prison break inaningoja
Mpaka walipofikia haijaisha hivyo tarajia watakuja kutoa nyingine nadhani ni 2026.Okay okay kwaiyo hizo mbili za house dragons ndio final hivo hakuna season itakayo ongezeka
Yes nadhan ni 7Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimeitazama series ya Game of thrones kabla ya hapo niliishia tu kuwa msomaji wa baadhi ya nyuzi zinazohusiana na uchambuzi wa movie ama kweli ni movie bora.