Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti alimtenga mama ake
sasa humo binti anakutana na zuo zhen jamaa mtemi sana wanakutana kwenye boti baada ya jamaa akiwa kwenye harakati zake za kumtafutia master wake dawa
wanakutana mara nyingi mpaka mchizi ana fall in love kwa manzi
humo ndani ngumi balaa
unyonyaji ukandamizaji everything is in there nimejifunza kitu kwenye hii movie
your into my world
rate 10/10