Series ya silo season 2 imetoka?

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,424
Reaction score
2,333
Wakuu habar za jion

Kwa wale wapenzi series Kuna series inaitwa silo, hii series mm nimefanikiwa kuiona season 1. Hii series ni nzuri sana, Sasa nataka kufahamu Kama season ya 2 imetoka au la.
 
Humo kuna mambo gani ya kuvutia?
 
Humo kuna mambo gani ya kuvutia?
Mambo ya kuvutia ni mengi mno. Ila kwa ufupi ni kwamba Kuna watu wanaishi kwenye mjengo fulan ambao ni underground(silo) yaan ni handaki, hao watu wanaishi humo hawajawah kutoka nje na hawajui watatoka lini.

Dokezo ya series
"We do not know why we are here, we do not know who built the silo, we do not know why everything outside is as it is, we do not know when it will be safe to go outside, we only know that, that day is not today.

Itafute braza.
 
Kuan mambo ya u super power? Au
 
hata teaser haijaachiwa hii mbaka 2025 kuweni na subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…