JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Kila kukicha elimu Tanzania inaporomoka, hizi hapa ni mojawapo ya sababu:
1. Serikali kutokuwa na sera madhubuti ya elimu
2. Elimu kuingiliwa na wanasiasa mfano Mh. Kikwete kufuta mtihani wa kidato cha pili
3. Kuchaguliwa kwa wanafunzi waliopata madaraja ya chini kujiunga na vyuo vya elimu mfano Div 4 kwa wale wa cheti, Principal pass moja na subsidiary moja yaani E na S kwa Stashahada, E na E kwa shahada. Matokeo yake ni kupata walimu wabovu wasio na tija katika elimu.
4. Kila waziri kufanya analotaka katika elimu Mfano madudu aliyofanya Mh. Mungai alipokuwa waziri wa elimu.
5. Serikali kukosa msimamo ktk elimu mfano kuandaa walimu kwa siku 30. Je, kwanini daktari au mwanasheria asiandaliwe kwa siku 30? mwalimu tu, hii inanishangaza!
"KUONDOKANA NA UCHAFU HUU NI WATANZANIA KUIONDOA CCM MADARAKANI"