Serikakili yaua tanganyika packers?

Serikakili yaua tanganyika packers?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL).
TANGANYIKA PACKERS LTD kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini.
Mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa, kiwanda kilikuwa kikubwa sana, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje ya nchi mpaka kwa malikia wa Uingereza.

Neno KAWE maana yake ni COWS WAY yaani njia za ng'ombe, Serikali ilivyokichukua tu kwanza walinyimwa leseni ya kusafirisha nje (walinyimwa cheti kilichokuwa kinaitwa PHYTOSANITARY CERTIFICATE cheti cha kuthibitisha ubora wa vyakula vya package), hivyo soko la ndani likawa gumu kikawa kinasambaza nyama zake kwenye mabucha ya Dsm na badae kija kufa mwaka 1993!

Pana mbunge mmoja wa kawe alikinunua kwa Bei ya chini sana nae akashindwa kukiendesha atimae akaanza kuuza mashine na baadhi ya vipuri kama chuma chakavu na mwishoe kikafa kabisa!
 
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini, mpaka mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa, kiwanda kilikuwa kikubwa sana, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje ya nchi mpaka kwa malikia wa Uingereza, Neno KAWE maana yake ni COWS WAY yaani njia za ng'ombe, Serikali ilivyokichukua tu kwanza walinyimwa leseni ya kusafirisha nje (walinyimwa cheti kilichokuwa kinaitwa PHYTOSANITARY CERTIFICATE cheti cha kuthibitisha ubora wa vyakula vya package), hivyo soko la ndani likawa gumu kikawa kinasambaza nyama zake kwenye mabucha ya Dsm na badae kija kufa mwaka 1993! Pana mbunge mmoja wa kawe alikinunua kwa Bei ya chini sana nae akashindwa kukiendesha atimae akaanza kuuza mashine na baadhi ya vipuri kama chuma chakavu na mwishoe kikafa kabisa!
Hizi ni baadhi ya sababu za kuifanya CCM itumie kila mbinu chafu kubaki madarakani.....

Wameitafuna nchi
 
Mimi ni mfuasi wa Nyerere kwenye kipengele cha uzalendo. Ila tukija kwenye sera zake za ujamaa na pia muungano, kwa kweli atanisamehe tu!
 
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini, mpaka mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa, kiwanda kilikuwa kikubwa sana, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje ya nchi mpaka kwa malikia wa Uingereza, Neno KAWE maana yake ni COWS WAY yaani njia za ng'ombe, Serikali ilivyokichukua tu kwanza walinyimwa leseni ya kusafirisha nje (walinyimwa cheti kilichokuwa kinaitwa PHYTOSANITARY CERTIFICATE cheti cha kuthibitisha ubora wa vyakula vya package), hivyo soko la ndani likawa gumu kikawa kinasambaza nyama zake kwenye mabucha ya Dsm na badae kija kufa mwaka 1993! Pana mbunge mmoja wa kawe alikinunua kwa Bei ya chini sana nae akashindwa kukiendesha atimae akaanza kuuza mashine na baadhi ya vipuri kama chuma chakavu na mwishoe kikafa kabisa!
Mashirika ya umma yalikufa kwa wizi, tuseme kweli.

Mmiliki wa Tanganyika Packers alikuwa ni Mwarabu maarufu aitwae Bathawab, Akataifishwa baada ya aimio la Arusha. Watoto na wajukuu zake wengine wapo mpaka leo mtaa wa uhuru Dar.

Bathawab alikuwa kaajiri Waingereza kwenye managaement. Na nchi ilikuwa chini ya utawala wa Muigereza na vile walikuwa wameajiriwa kukiendesha ikaonekana kama kiwanda hicho ni cha wazungu.
 
Hua nawaambia wanangu kwamba......
Pamoja na kwamba wanafundishwa na kuhubiriwa ujamaa kwenye mitaala ya hapa kwetu, lakini ukweli ni kwamba dunia ya sasa inatembea kwenye ubepari na ndipo mafanikio yalipo
 
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini, mpaka mwaka 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa, kiwanda kilikuwa kikubwa sana, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje ya nchi mpaka kwa malikia wa Uingereza, Neno KAWE maana yake ni COWS WAY yaani njia za ng'ombe, Serikali ilivyokichukua tu kwanza walinyimwa leseni ya kusafirisha nje (walinyimwa cheti kilichokuwa kinaitwa PHYTOSANITARY CERTIFICATE cheti cha kuthibitisha ubora wa vyakula vya package), hivyo soko la ndani likawa gumu kikawa kinasambaza nyama zake kwenye mabucha ya Dsm na badae kija kufa mwaka 1993! Pana mbunge mmoja wa kawe alikinunua kwa Bei ya chini sana nae akashindwa kukiendesha atimae akaanza kuuza mashine na baadhi ya vipuri kama chuma chakavu na mwishoe kikafa kabisa!
Mashirika ya umma yalikufa kwa wizi, tuseme kweli.

Mmiliki wa Tanganyika Packers alikuwa ni Mwarabu maarufu aitwae Bathawab, Akataifishwa baada ya aimio la Arusha. Watoto na wajukuu zake wengine wapo mpaka leo mtaa wa uhuru Dar.

Bathawab alikuwa kaajiri Waingereza kwenye managaement. Na nchi ilikuwa chini ya utawala wa Muigereza na vile walikuwa wameajiriwa kukiendesha ikaonekana kama kiwanda hicho ni cha wazungu.
 
Mashirika ya umma yalikufa kwa wizi, tuseme kweli.

Mmiliki wa Tanganyika Packers alikuwa ni Mwarabu maarufu aitwae Bathawab, Akataifishwa baada ya aimio la Arusha. Watoto na wajukuu zake wengine wapo mpaka leo mtaa wa uhuru Dar.

Bathawab alikuwa kaajiri Waingereza kwenye managaement. Na nchi ilikuwa chini ya utawala wa Muigereza na vile walikuwa wameajiriwa kukiendesha ikaonekana kama kiwanda hicho ni cha wazungu.
Unajaribu kuhalalisha nini ajuza?
Bandari ziwaendee wavaa makobaz kwa sababu tu wana pesa?

Muarabu ni mpumbavu tu hata mbele yetu watu weusi
 
Back
Top Bottom